Mancity yakubali kichapo na Burnley
Mchezaji Goerge akiifungia Burnley bao la pekee dhidi ya Mancity Four out of Burnley's fiv...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/03/mancity-yakubali-kichapo-na-burnley.html?m=0
Four out of Burnley's five Premier League victories have now come at Turf Moor
Burnley striker Danny Ings had scored five times in his previous nine Premier League matches
Manchester City captain Vincent Kompany returned to the starting line-up after not playing v Leicester
Manchester City manager Manuel Pellegrini has dismissed reports he was set to become Napoli boss
Manchester City need to win away at Barcelona on Wednesday to stay in the Champions League
Bao
la George Boyd liliipatia kilabu ya Burnley ushindi dhidi ya Mancity na
hivyobasi kutia doa harakati za klabu hiyo kuhifadhi taji lake la ligi
ya Uingereza.
Boyd alifunga baada ya beki wa kilabu ya Mancity Vincent Kompany kushindwa kuokoa hatari katika lango la City.
Mancity ilipoteza fursa nyingi za kujiweka kifua mbele huku mkwaju uliopigwa na Edin Dzeko ukiokolewa na Tom Heaton naye Sergio Aguerro akikosa kichwa kizuri cha wazi.
Pablo Zabaleta aliangushwa kunako dakika za mwisho za mechi hiyo kukamilika lakini refa akakataa kutoa penalti licha ya wachezaji wa City kulalamika.