Madonna aanguka katika tuzo za Brits
Kinara wa tuzo za Brits Ed Sheeran Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki, the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichagu...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/02/madonna-aanguka-katika-tuzo-za-brits.html
Kinara wa tuzo za Brits Ed Sheeran
Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki,
the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichaguliwa kama msanii
bora
mwanamume wa kipekee Uingereza. Taylor Swift, alitajwa kama msanii
mwanamke wa kimataifa wa kipekee. Katika sherehe hizo.Madonna aanguka katika sherehe hizo
Mwanamziki Madonna akiwa ameanguka jukwaani katika tuzo za Brits