Flatnews

Liverpool yafuzu robo fainali ya FA

Danniel Sturidge akifunga bao lake Mabingwa mara saba Liverpool walitoka nyuma na kuishinda Crystal P...


Danniel Sturidge akifunga bao lake
Mabingwa mara saba Liverpool walitoka nyuma na kuishinda Crystal Palace na kufuzu katika robo fainali ya kombe la FA.

Fraizer Campbell alikuwa ameiweka kifua mbele Crystal Palace baada ya kichwa cha Dwight Gayle kupanguliwa na kipa wa Liverpool Simon Mignolet.
Lakini Danniel Sturridge alisawazisha baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Jordan Henderson.
Adam Lallana alifunga bao la ushindi kutoka pasi iliopigwa na Mario Balotelli.

Related

SPORTS 7355420229796410711

Post a Comment

emo-but-icon

item