Flatnews

Diamond Platnumz na Zari walisherekea vipi Valentines Day, picha ziko hapa

Ikiwa ni couple inayozungumziwa na kufuatiliwa zaidi kwenye bongo fleva, Diamond  na Zari the boss lady walitumia siku ya wapendanao vis...


dv 1
Ikiwa ni couple inayozungumziwa na kufuatiliwa zaidi kwenye bongo fleva, Diamond  na Zari the boss lady walitumia siku ya wapendanao visiwani Zanzibar kwa kula #GoodTime sehemu tofauti.
Zari na Diamond walionekana kwenye sehemu marufu ya chakula kitamu cha Zanzibar #Forodhani wakichagua vyakula tofauti ikiwa ni mara ya kwanza Zari anafika Zanzibar.
Hizi picha zao pamoja weekend hii.
dv 2
dv 3 dv 4 dv 5 dv 7 dv 8 dv 9 dv 10 dv 11 dv 12

Related

ENTERTAINMENT 4663456441062971896

Post a Comment

emo-but-icon

item