Flatnews

Diamond na angefanya nae collabo itakuwaje.

Kupitia ‘ Bill Da African wa Uganda All Star ‘  Muimbaji kutoka Uganda ‘Juliana Kanyomozi’


diamond on sammisagocom
Kupitia ‘Bill Da African wa Uganda All Star‘  Muimbaji kutoka Uganda ‘Juliana Kanyomozi’
amesema yeye ” binafsi ni shabiki wa nyimbo za msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz,nina furaha sana kwa mafanikio aliyopata, anakipaji kikubwa ,anawakilisha Afrika Mashariki kwa ukubwa zaidi huko nje” .
juliana
Akaaulizwa kama atafanya wimbo na Diamond utakuaje na utaitwaje, Juliana anasema “Ukiwa studio mambo mengi yanatokea, sababu ni msanii anayefanya nyimbo za mapenzi nadhani utakuwa wimbo wa mapenzi, na mkubali na amebarikiwa katika kazi zake ” .

Related

ENTERTAINMENT 8039187033778468835

Post a Comment

emo-but-icon

item