Flatnews

Chelsea,Everton zashutumiwa

Wachezaji wa Chelsea na Everton waligombana uwanjani FA imezishutumu klabu za Everton na Chelsea baad...


Wachezaji wa Chelsea na Everton waligombana uwanjani
FA imezishutumu klabu za Everton na Chelsea baada ya wachezaji wa timu hizo mbili kugombana uwanjani.

Klabu hizo zinashutumiwa kwa kushindwa kuhakikisha kuwa wachezaji wake wanaepuka mivutano uwanjani na kuepuka vitendo vyenye kuchochea vurugu.
Mchezaji wa Chelsea Branislav Ivanovic hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kugombana na James McCarthy, kwenye mchezo wa jumatano wa ligi kuu ya England ambapo Chelsea iliondoka na ushindi wa goli moja bila dhidi ya Everton.

Related

SPORTS 7741319090760174273

Post a Comment

emo-but-icon

item