Waisilamu waandamana dhidi ya C.Hebdo
Maandamano nchini Pakistan kuonyesha kero la waumini wa kiisilamu kuhusu Ch...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/01/waisilamu-waandamana-dhidi-ya-chebdo.html
Polisi nchini Pakistan wamekabiliana na waandamanaji, walioghadhabishwa na uamuzi wa jarida na Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha vibonzo vya mtu wanayedai ni Mtume Mohammad.
Walikuwa wamekusanyika nje ya ubalozi wa Ufaransa mjini Karachi.
Mwandishi wa BBC mjini Islamabad amesema idadi ya waandamanaji hao, kwa mujibu wa idadi ya wasisilamu nchini Pakistan, ilikuwa ndogo.
Maandamano kama hayo yameitishwa katika nchi zingine zilizo na idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama vile Uturuki, Ufilipino,Kuwait, Mauritania na Sudan.