Flatnews

KANYE NA KIM - KARDASHIAN KUONGEZA BABY MWINGINE

Msanii wa Hip hop Kanye west pamoja na mke wake Kim - Kardashian huwenda siku za usoni wakaongeza familia kutokana na ile hari ya muo...


Msanii wa Hip hop Kanye west
pamoja na mke wake Kim - Kardashian huwenda siku za usoni wakaongeza familia kutokana na ile hari ya muonekano wa Kim katika kila kona anayokatiza na rapper huyo  ambapo katika Magazine moja ya nchini marekani Kim alifunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto mwingine  na kusema hivi karibuni itakuwa  hivyo alifunguka mwanamama Kim Kardashian .

Related

BURUDANI 352589432663887538

Post a Comment

emo-but-icon

item