https://samchardtz.blogspot.com/2014/10/neymar-apiga-4-brazil-ikiichinja-japan_14.html
Brazil
imeichapa Japan 4-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Singapore.
Mabao yote manne yamefungwa na Neymar ambaye sasa amefikisha mabao 40
kwa timu yake ya taifa. Wafungaji bora wa Brazil ni: Pele - 77
Ronaldo - 62
Romario - 55
Zico - 48
Neymar - 40