Flatnews

MAVOKO, RABBIT KUFANYA COLLABO


mavoko 4

Ricch Mavoko anayetamba na wimbo ‘Pacha Wangu’
Nyota wa muziki nchini Rich Mavoko anayetamba na wimbo ‘Pacha wangu’ anatarajia kufanya wimbo na msanii kutoka Kenya, Rabbit aka Kaka Sungura hivi karibuni.
Akiongea na hivisasa blog, Rich Mavoko ambaye alishare cover ya wimbo huo kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa Rabbit ni msanii mkubwa sana wa Hip Hop nchini Kenya hivyo kwake ni fahari kufanya naye kazi na mashabiki wake wategemee wimbo wa kiwango cha hali ya juu kutoka kwake na Rabbit.
Katika hatua nyingine Rabbit anafahamika kwa nyimbo zake tofauti ukiwepo ‘Sitaki kukuona’ aliomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini, HHP na wimbo mwingine aliimba na Weusi wa hapa nchini Tanzania.
sungura
Picha ya cover ya wimbo mpya wa Rich Mavoko na Rabbit

Post a Comment

emo-but-icon

item