AUNT EZEKIEL ANAVYO KULA BATA NCHINI MAREKANI
Hapa Aunt Ezekiel akipta ukodak na mashabiki wake Rose Millo kushoto na Alpha kulia Nyumbani kwa Ny Ebra. Rose na Alpha ni wageni wa Ny...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/09/aunt-ezekiel-anavyo-kula-bata-nchini.html
Hapa Aunt
Ezekiel akipta ukodak na mashabiki wake Rose Millo kushoto na Alpha
kulia Nyumbani kwa Ny Ebra. Rose na Alpha ni wageni wa Ny Ebra kutoka
Tanzania wapo New York kikazi na walifurahi sana kukutana na Aunt
Ezekiel na kupata fursa ya kupata ukodak.
Ni mambo ya Ukodak wa vijimambo hayo live bila chenga.
Kila mmoja akionyesha smile yake mbele ya ukodak.
Dj Luke nae akipata ukodak na Aunt pamoja na Deborah kiroho safi.
Salimu Akida katikati.