Flatnews

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM


Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo.
Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya mradi huo.
Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya mradi huo. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com.simu namba 0712-727062)
Wadau wakipata picha ya pamoja na waziri Tibaijuka (katikati) mara baada ya majadiliano juu ya mradi huo.

Post a Comment

emo-but-icon

item