Tanzania yajidhatiti kudhibiti Ebola
https://samchardtz.blogspot.com/2014/08/tanzania-yajidhatiti-kudhibiti-ebola.html
Tanzania imeandaa mikakati madhubuti ya kuhakikisha inaudhibiti ugonjwa wa Ebola miongoni mwa wageni wanaoingia nchini humo. Tayari Ugonjwa huo mpaka sasa umeathiri mataifa kadhaa ya Afrika.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Tanzania Dk. Seif Rashid akizungumza na mwandishi wa DW Hawa Bihoga
Katika mazungumzo maalum na DW waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini
humo dokta Seif Rashid amesema hadi sasa Tanzania haijapata mtu mwenye
kuonesha dalili za ugonjwa huo wa ebola. Mwenzangu Hawa Bihoga kutoka
jijini Dar es salaam amezungumza naye juu ya mikakati ya serikali
kuudhibiti ugonjwa huo.