ROONEY NAHODHA MPYA MANCHESTER UNITED
https://samchardtz.blogspot.com/2014/08/rooney-nahodha-mpya-manchester-united.html
Mteule: Wayne Rooney sasa ndiye Nahodha mpya wa Manchester United
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa
England, Wayne Rooney ametuliwa kuwa Nahodha wa kikosi cha Manchester
United na kocha Louis van Gaal.
Mholanzi huyo amevutiwa shughuli
ya mpachika mabao huyo wa England tangu aanze kazi Old Trafford na
anaamini atakuwa chaguo sahihi kuwa kiongozi wa wachezaji wenzake katika
timu.
"Kwangu, wakati wote muhimu chaguo la Nahodha," amesema Van Gaal katika tovuti ya klabu hiyo.
