PICHA;NDEGE YAANGUKA NA KUUEWA ABIRIA WOTE NCHINI IRAN
https://samchardtz.blogspot.com/2014/08/pichandege-yaanguka-na-kuuewa-abiria.html
Ndege ya Iran iliyoanguka na kuua watu 48 leo asubuhi.
WATU 48
wamefariki dunia baada ya ndege ndogo ya abiria waliyokuwemo kuanguka
katika makazi ya watu jirani na Uwanja wa Ndege wa Mehrabad uliopo
magharibi mwa mji wa Tehran nchini Iran leo asubuhi.
Ndege hiyo mali ya kampuni ya Taban Air ilikuwa inaelekea katika Jiji la T