Flatnews

PICHA UCHAFU WAONGEZEKA SOKO LA SAMAKI KIVUKONI DAR

Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.


Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.

Gari la kubebea uchafu likijaribu kupunguza taka katika baadhi ya sehemu za soko.
Mmoja wa wafanyabiashara wa samaki akionyesha samaki anaowauza.
Samaki wakiwa  kwenye sehemu ya kuwatunzia.
Mmoja wa wachuuzi akiwa na mfuko wenye dagaa.
Baadhi ya biashara nyingine zinazofanywa katika eneo hilo.
Masanduku ya kutunzia samaki.
Moja ya mandhari za soko hilo.
              Wavuvi na wafanyabiashara wakiwa katika shughuli zao.

Post a Comment

emo-but-icon

item