BARAZA LA HABARI WAMUAGA BALOZI WA NORWAY
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mh...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/baraza-la-habari-wamuaga-balozi-wa.html
Meneja wa Rasilimali Watu Baraza la Habari Tanzania Ziada Kilobo…
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga
akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini
Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari
Beach. Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari alimsifia Balozi wa Norway
kwakuwa rafiki wa kweli kwa Baraza la Habari la Tanzania.
Meneja
wa Rasilimali Watu Baraza la Habari Tanzania Ziada Kilobo akimsaidia
Balozi kufunga kilemba ikiwa sehemu ya zawadi ya vazi la asili la
Kiafrika alilozawadiwa Balozi,kulia ni Meneja Uthibiti na Viwango Pili
Mtambalike wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini

Beach.
Rais
wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga
wakiangalia picha ya Balozi ambayo alipewa kama zawadi wakati wa tafrija
hiyo ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn
Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
Balozi
wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik akiwa kwenye picha ya
pamoja na Watumishi wa Baraza la Habari,Wahariri na wadau wengine wa
Habari kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.

CHANZO NI GLOBA PUBLISHERS