WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MABASI YAENDAYO HARAKA(DART)
Waziri Mkuu, izengo Pinda akifungua Mkutano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Dar Rapid Transit) kwenye...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/waziri-mkuu-pinda-afungua-mkutano-wa.html
 |
| Waziri
Mkuu, izengo Pinda akifungua Mkutano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi
wa Mabasi yaendayo haraka (Dar Rapid Transit) kwenye ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es salaam, Juni 3, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) |
 |
| Waziri
Mkuu,, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia nchini, Bw. Philippe Dongier baada ya kufungua Mkutano
waMajadiliano wa kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Juni 3, 3014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
| Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa
Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi
wa Mlimani City jijiniDar es salaam Juni 3, 2014. Kulia kwake ni Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa
Ghasia(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |