RAIS WA ZANZIRAR DKT SHEIN AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WALIO CHINI YA WIZARA YAKE.
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/rais-wa-zanzirar-dkt-shein-awapongeza.html?m=0
Baadhi ya
watendaji na washauri wa Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika hafla ya
chakula iliyofanyika baada ya kupitishwa bajeti za Wizara zilizo chini
ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao cha
Baraza la Wawakilishi kinachoendelea ,hafla hiyo ilifanyika leo viwanja
vya Ikulu,.
Baadhi ya
Viongozi wa Wizara mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika hafla ya chakula
iliyofanyika baada ya kupitishwa bajeti za Wizara hizo katika kikao cha
Baraza la Wawakilishi kinachoendelea ,hafla hiyo ilifanyika leo viwanja
vya Ikulu
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto)
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abulhamid Yahya Mzee,(kulia) na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala BoraDkt.Mwinyihaji Makame Mwadini
(wapili kulia) wakiwapongeza wafanyakazi mbali
mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi katika hafla ya chakula iliyofanyika baada ya kupitishwa
bajeti za Wizara hizo katika kikao cha Baraza la Wawakilishi,hafla hiyo
ilifanyika leo viwanja vya Ikulu,.
 |
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Al;i Mohamed Shein
akizungumza na wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya kulanao pamoja chakula katika
fahla ya kuwapongeza wafanyakazi hao baada ya kupitishwa bajeti za Wizara hizo katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea ,hafla hiyo ilifanyika leo viwanja vya Ikulu,(wapili kulia)Makamo
wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheri. [Picha na ramadhan Othman,Iku
|