NEYMAR APIGA KITU CHA HATARI BRAZIL IKIIFUMUA PANAMA 4-0 PASHA PASHA KOMBE LA DUNIA
Neymar aliishikilia vilivyo `shoo` katika uwanja wa The stadio Serra Dourada jana usiku baada ya kuifungia Brazil bao safi kwa mpira wa...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/neymar-apiga-kitu-cha-hatari-brazil.html
Neymar aliishikilia vilivyo `shoo` katika uwanja wa The stadio Serra Dourada jana usiku baada ya kuifungia Brazil bao safi kwa mpira wa adhabu ndogo na vijana wa samba kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Panama.
Nyota huyo alikuwa katika kiwango cha juu na kuonesha uwezo wa aina yake kwa muda wote wa mechi hiyo.
Magoli ya Brazil yalifungwa na Neymar, 27, Dani Alves, 40, Hulk 46, Willian, 73.
Magoli ya Brazil yalifungwa na Neymar, 27, Dani Alves, 40, Hulk 46, Willian, 73.
Tabasamu: Neymar (kulia) akipongezwa na Fred (wa pili kushoto) wakati Oscar (kushoto) akitazama
Kikosi cha Panama:
McFarlane (Calderon, 58), Machado (Jimenez, 56), Carroll (Rodriguez,
67), R Torres (Cummings, 59), Gomez, Quintero, Cooper (Torres, 56),
Henriquez, Munoz, Tejada (Nurse, 46).