ENGLAND WAFANIKIWA KUFANYA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA MIAMI KUJIANDA NA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA ECUADOR
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/england-wafanikiwa-kufanya-mazoezi-kwa.html?m=0
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya England hatimaye wameweza kutoka na kufanya mazoezi leo mjini Miami baada ya hali ya hewa kutulia
Kikosi cha Roy
Hodgson kilitarajiwa kufanya mazoezi yao ya kwanza jana jumatatu,
lakini dhoruba iliyokuwepo miami aliwafanya wafanye mazoezi kwenye
`jimu` badala ya kwenda uwanjani.