ANGALIA PICHA ZA AJALI YA MALORI MKOANI MBEYA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/angalia-picha-za-ajali-ya-malori-mkoani.html
AJALI hii imetokea maeneo ya Simike mkoani Mbeya ikiyahusisha malori mawili na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo. Kutokana na foleni hiyo, wananchi wengi waliamua kutembea kwa miguu huku waendesha bodaboda wakipata abiria wa kumwaga kutokana na barabara hiyo kutopitika kwa muda.Chanzo GPL