Flatnews

YASEMEKANA LAKINI HUYU NDIYE MREMBO WA OMMY DIMPOZ...TAZAMA PICHA YAKE HAPA.


ommy dimpozMastaa wa muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao kuwatambulisha wapenzi wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio mbalimbali. Tanzania ni tofauti hata
hivyo. Ni mastaa wachache wenye ujasiri wa kuwaweka hadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond Platnumz. Mastaa wengine akiwemo 

Ommy Dimpoz hawajawahi kuwatambulisha wapenzi wao hadharani labda kama ni tetesi tu. Ommy Dimpoz ameshare

Post a Comment

emo-but-icon

item