Flatnews

Unaambiwa Huu Ndiyo Ujiyo Mpya Na Mkali Zaidi Kutoka Kwa Ally Kiba, Wasanii Wengine Wajipange..!!! Fatilia Hapa


Ilifikia wakati wasanii wachanga wanaingia studio kufanya wimbo kwa sauti na miondoka ya Ali Kiba kama ishara ya kumiss kazi za star huyu wa Bongo Fleva, Kupitia Instagram ya Tunda Man shabiki unafahamishwa kuwa Wimbo mkubwa utakao teka radio na Tv hivi karibuni ni wa Ali kiba ft Fallyipupa.

Post a Comment

emo-but-icon

item