Tuzo za kimataifa za CNN kwa waandishi wa habari Afrika 2014 zazinduliw
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/tuzo-za-kimataifa-za-cnn-kwa-waandishi.html
Tuzo
hizo zinalenga katika kuwatunuku waandishi wa habari za Afrika ambao
wamefanya vizuri zaidi katika kukusanya na kuripoti habari zao kwa mwaka
huu.
Mwaka huu njia ya kuiunga na shindano hilo kwa waandishi wa
habari imerahisishwa zaidi ambapo mwandishi anatakiwa kujaza form ambazo
zinapatikana kwenye tovuti maalum yawww.cnnmcaja.cnn.com
“Tangu mwanzo kabisa, tuzo hizi zimevumbua na kuwatunuku
waandishi wa habari bora zaidi katika bara hili. Kwa habari nyingi zaidi
za Afrika sasa hivi wanaweza kushare nasi kazi zao, tunatarajia hata
ingizo jipya la kazi bora zaidi zilizotukuka.” Amesema Tonny Maddox,
Mkurugenzi Mtendaji wa CNN International.
Hii ni fursa pia kwa waandishi wa habari wa Tanzania.
Hivi ni baadhi ya vipengele vitavyoshindaniwa/ vitakavyoangaliwa mwaka huu:
Culture Award
The Coca-Cola Company Economics & Business Award
GE Energy & Infrastructure Award (*NEW*)
Environment Award
MSD Health & Medical Award
News Impact Award (*NEW*)
Mohamed Amin Photographic Award
Press Freedom Award
Sport Reporting Award
Francophone General News Awards – Electronic media