TABIA TATA ZA MASTAA WA KIKE BONGO: SHAMSA FORD NA DAVINA WAFUNGUKA LIVE...!
MASTAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford na Halima Yahaya ‘Davina’ wameshangazwa na mastaa wa kike wanaoficha mimba mbele ya ‘media’. ...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/tabia-tata-za-mastaa-wa-kike-bongo.html
MASTAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford na Halima Yahaya ‘Davina’ wameshangazwa na mastaa wa kike wanaoficha mimba mbele ya ‘media’.
Wakizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni baada ya kuulizwa kwa nini baadhi ya mastaa wanaficha ujauzito na baadaye kuumbuka baada ya kujifungua, walisema wao wanashangazwa na kitendo hicho.
Wakizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni baada ya kuulizwa kwa nini baadhi ya mastaa wanaficha ujauzito na baadaye kuumbuka baada ya kujifungua, walisema wao wanashangazwa na kitendo hicho.
“Wanaoficha
mimba wanakosea sana, mbona mastaa wa nje wanapiga picha matumbo yao na
kuweka mitandaoni huku wakifurahia lakini nashangaa hapa Bongo eti
wanaficha,” alisema Davina akiungwa mkono na Shamsa.