RAIS KIKWETE AWASILI ABUJA, NIGERIA, KUHUDHURIA MKUTANO WA UCHUMI DUNIANI
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/rais-kikwete-awasili-abuja-nigeria.html
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua mara baada ya kutua
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja,
Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania
na Nigeria jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako
atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).

Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Nishati wa Nigeria
Profesa Chinedu Ositadinma Nebo na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria
Mhe Daniel Ole Njoolay baada ya kupokewa katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014
ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).