NIGERIA IMEKATAA MASHARTI NA BOKO HARAMU KUWAACHIA HURU WANAFUNZI WA KIKE ZAIDI YA 200
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/nigeria-imekataa-masharti-na-boko.html
Jumatatu, Nigeria imekataa masharti
yaliyowekwa na kiongozi wa Boko Haramu,Abubakar Shekau kwa ajili ya
kuwaachia huru wanafunzi wa kike zaidi ya 200 waliotekwa na wanamgambo
wa kiislam.
Waziri wa mambo ya ndani alipoulizwa kama
serikali itakataa mapendekezo yaliyotolewa na Shekau katika video mpya
ambayo wasichana wanaweza kuachiwa huru mara moja endapo Serikali ya
Nigeria itawaachia huru wafungwa wote wapiganaji, alijibu kuwa suala
katika swali siyo juu ya Boko Haramu kutoa mashart
