Flatnews

MKUU WA UNDP DUNIANI HELEN CLARK ATEMBELEA HIFADHI YA RUAHA


Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Bi Helen Clark kulia  akiwa na madereva wa greda  ambalo  limetolewa na UNDP kwa mradi  wa
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP )Hellen Clark wa  pili kulia akiwa na mkuu wa UNDP Afrika Paul Harrison kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wa nne kulia na tano  kulia ni Mratibu wa SPANEST Bw  Godwell ole Meing'ataki  watatu  kulia ni afisa mahusiano wa TANAPA Bw Pascal Shelutete.(P.T)
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP )Hellen Clark wa  pili kulia akiwa na mkurugenzi wa UNDP Afrika Paul Harrison kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wa nne kulia na tano  kulia ni Mratibu wa SPANEST Bw  Godwell ole Meing'ataki
Afisa utalii ofisi ya utalii Nyanda  za juu kusini Risara Kabongo akipita kando ya mtando wa kutengeneza barabara  hifadhi ya Taifa ya Ruaha  uliyotolewa na UNDP kwa mradi wa Spanest
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto akiwa na Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) duniani Hellen Clark jana  wakati akizungumza na askari  wa hifadhi hiyo kiboko wa  majangili nchini
Mwandishi wa BBC nchini ABOUBAKARI  FAMAU   kushoto akichukua matukio nyeti  wakati mkuu wa UNDP duniani akizungumza na  askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP )Bi Hellen Clark  kulia akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa
Mwandishi maarufu wa ITV nchini Vedasto Msungu  akichukua matukio
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia  akizungumza na askari  wanaopambana na majangili  hifadhi ya Taifa ya Ruaha  Iringa jana
Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia  akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibu Mratibu wa SPANEST Bw  Godwell ole Meing'ataki wa  pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa  katika  gari  lililotolewa na UNDP
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Hellen Clark akiwa na mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan Kijazi  kushoto  kando ni gari  lililotolewa msaada wa UNDP
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi wa  tatu kushoto akiwa na Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Helen Clark wa pili kulia na Mratibu wa SPANEST Bw  Godwell ole Meing'ataki na mratibu wa UNDP Afrika  Paul Harrison  kulia nyuma yao ni gari lililotolewa na UNDP
Wahudumu  wa Hotel ya  kisasa ya Ruaha
Ndege iliyotumiwa na  watendaji wa UNDP
Wanahabari ni watumishi wa hifadhi  ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa  wakiitazama ndege  aliyopanda  Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP )Bi Helen Clark wakati akiwasili katika  hifadhi ya Ruaha  kutembelea  miradi inayofadhiliwa na UNDP
Mkuu wa UNDP duniani Helen Clark kulia akiagana na watumishi wa  hifadhi ya Taifa  ya Ruaha leo asubuhi
Mwanahabari  wa Chanel Ten Iringa Clement  Sanga akiwa kando ya ndege ya Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Bi Hellen Clark
Simba  akiwa amepozi wakati mwandishi wa BBC Tanzania  Aboubakari Famau akimpiga  picha katika hifadhi  ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa  wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea  hifadhi hiyo jana
mwandishi wa BBC Tanzania  Aboubakari Famau akiwapiga  picha simba katika hifadhi  ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa  wakati wa ziara ya mkuu  wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea  hifadhi hiyo jana
mwandishi wa BBC Tanzania  Aboubakari Famau akiwapiga  picha simba katika hifadhi  ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa  wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea  hifadhi hiyo jana
Mamba  akiwa  langoni mwa hifadhi ya Ruaha mkoani Iringa

Post a Comment

emo-but-icon

item