MJUE MKE WA SHEDDY CLEVER PRODUCER WA MY #1 YA DIAMOND PLATINUM
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/mjue-mke-wa-sheddy-clever-producer-wa.html
Sheddy Clever, Produce wa My Number One ya Diamond Platinum ambayo
imempa umaarufu mkubwa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania ikiwa ni
pamoja na kuwa nyimbo inayowika sana katika Tuzo nyingi za Tanzania na
Afrika kama MTV MAMA'S AWARDS, AFRIMMA N.K,
Producer huyu amekili kuwa mahusiano mazuri ya yeye na jamii yake nzima
kuanzia familia imekuwa chachu kubwa katika kumsaidia hadi hapo ambapo
tunamuaona akifanya kazi vizuri, licha ya wazazi wake kuwa bega kwa bega
naye lakini BIBI yake amekuwa mtu muhimu sana kwake kwa upendo
wake wa kuipenda, kuijali na kuibariki kazi aifanyayo mjukuu wake huku
akifananisha tofauti kubwa ya kizazi cha bibi yake ambaye hadi hivi sasa
anapenda sana kazi za mjukuu wake ambaye yeye hujivunia kama ni mpenzi
wake hodari kama desturi nyingi zinavyoamini kuwa upendo wa bibi kwa
mjukuu hutawaliwa na amani na maono mengi ya manufaa ikiwa bibi atatoa
baraka zake kwa mjukuu wake,
Vivyo hivyo mjukuu hupenda sana kuwa karibu na bibi yake ili kupata na
kuchota busara ambazo wazee wetu zimewafikisha pale walipo (uzeeni)
Tukiachana na mke wa Sheddy, producer huyu hivi sasa amewika katika tuzo
kubwa za AFIMMA zenye kilele chake hapo tarehe 26/07/2014 huko
Marekani. Sheddy ameingia kama producer bora wa mwaka akishindanishwa na
ma-producer wakubwa kama Don Jazzy(Nigeria) Shizzi (Nigeria) Killbeatz
(Ghana) Dj Oskido (South Africa) Nash Wonder (Uganda) Ogopa(Kenya).
Sasa kumfanya Sheddy ashinde mpigie kura kwa kubofya HAPA
AU
| Bibi wa Sheddy Clever, Aki-swag kama mjukuu wake |
| Bibi na Mjukuu wake |
.jpg)