MFAHAMU SHABIKI SUGU KUTOKA BRAZIL ALIAHIDI KUVAA RANGI ZA NCHI YAKE KWA MIAKA 20 KAMA BRAZIL INGESHINDA KOMBE LA DUNIA MWAKA 1994
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/mfahamu-shabiki-sugu-kutoka-brazil_5.html
Akiwa mtaani
Nelson Paviott amedhihirisha kuwa anaweza kula kiapo kwani mpaka leo anavaa nguo za rangi ya Nchi yake.
Aliahidi
kuvaa rangi za kijani,njano,nyeupe na blue na jamaa huyu hakuaishia
hapo hata magari yake kayapaka rangi hizo,ofisi yake na hata chakula
anadai kula vyenye rangi hizo. Je, wewe unaweza?
Humu ni ofisini kwake
Huwezi kuamini lakini ndo ukweli wenyewe hata kwenye boneti kapaka rangi hizo
Hayo ni magari yake
Viatu vyake
Akichagua nguo na tazama saa yake hapo






