Flatnews

MBUNGE NASSARI ASHIRI UFUNGUZI WA FIFIS PREMIUM BAKERY


0051
Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari alipo jumuika pamoja na wadau wengine katika uzinduzi wa Fifi Premium Bakery jijini Arusha hivi karibuni. 
 
SkyFoods wazindua mikate, Fifis Premium Bakery, ambayo ilizinduliwa rasimi siku ya Jumatano Aprili 30, 2014 , katika mgahawa wao wa Fifi  Restaurant, Themi Road, karibu na TANESCO
0028 
0032
Shefu mkuu wa Fifis ambaye ni mpishi mzoefu wa muda mrefu kutoka ufaransa Bw. Jerome Pace
0038 
0042
Baadhi ya waanzirishi wa mgahawa huu wa Fifi Premium Bakery kutoka kushoto ni Anna, zoe glorious na Princery H glorious 
0049

Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akijumika pamoja na wananchi wengine katika sherehe za uzinduzi wa Fifi Premium Bakery

Post a Comment

emo-but-icon

item