LIVERPOOL NA MAUMIVU YA AJABU ONA MASIKINI YA MUNGU MSHABIKI WAO ANAVOTIA HURUMA HAPA LIVE!!
Peke yake: mcheki shabiki mmoja wa Liverpool aliyebaki peke yake uwanjani baada ya Liverpool kutoka s...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/liverpool-na-maumivu-ya-ajabu-ona.html
Peke
yake: mcheki shabiki mmoja wa Liverpool aliyebaki peke yake uwanjani
baada ya Liverpool kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Crystal Palace jana usiku
Mikono kichwani: Shabiki mmoja wa Liverpool hakuamini kilichotokea
Shabiki yule yule alionekana akiwa amebaki peke yake uwanjani baada ya mashabiki wote kuondoka katika uwanja wa Selhurst Park