LIVEEE KUTOKA DODOMA MAPOKEZI YA RIDHIWANI KIKWETE NA MGIMWA CCM MAKAO MAKUU
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/liveee-kutoka-dodoma-mapokezi-ya.html



Mangula
ameonya Wana-CCM wanaofanya Kampeni kwenye
Majimbo mbalimbali wakati
Muda wa Kampeni haujafika,Amesema ni Kosa kwa Mtu yeyote anayejipitisha
Kwa Wananchi kuomba ridhaa ya Kugombea Kupitia Chama cha Mapinduzi
wakati muda haujafika,Ameomba Jimbo la Kalenga na Chalinze Wabunge wao
wapewe nafasi ya Kutekeleza ahadi zao kwa Muda mfupi Uliobakia.Mbali na
hilo Philip Mangula ameonya Makundi ndani ya Chama na Usaliti wakati wa
Uchaguzi,Mwana-CCM Mtiifu hawezi Kukisaliti chama wakati wowote
Ule,Hivyo Ikibainika Umesaliti Chama adhabu yake ni Kali sana.








Mh:Mwigulu Nchemba akiteta Jambo na Mbunge wa Kalenga Mh:Godfrey Mgimwa.
Dokii akitoa Burudani ya Mziki kwa Wananchi waliofika kwenye tukio hili.






