KONGAMANO LINALOONGOZWA NA MH. JANUARY MAKAMBA NDANI YA UKUMBI WA CHUO CHA AMUCTA (SAUT-TABORA)
KONGAMANO
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/kongamano-linaloongozwa-na-mh-january.html
KONGAMANO
Mh. January Makamba (Naibu waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia)
akiongea na wanazuoni mkoani Tabora katika kongamano la Rasimu ya katiba
na muundo wamuungano wa Tanzania


Mwanachuo akichangia mada
Mwanachuo akichangia
Mb. wa Tabora mjini, Mh. Aden Rage
Mkoosi
Kushoto ni Mh. January Makamba (Naibu waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia) na M/k wa Umoja wa wanavyuo Tabora
Gwakisa Kaswaga, mkurugenzi wa chuo cha TEKU akichangia mada katika
kongamano la rasmu ya katiba ya Tanzania na muundo wa muungano wa
Tanzania.
Bw. Mukama, Mhadhiri wa chuo cha SAUT-TABORA, akichangia mada.













