Katib
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Stephen
Nyanda Mhandisi wa ujenzi Wilaya ya Uyui wakati alipokuwa akikagua
nyumba za watumishi zilizojengwa na Halmashauri ya wilaya ya hiyo
zilizopo Kata ya Isikizya mkoani Tabora katika muendelezo wa ziara yake
ya siku kumi mkoani humo kukagua uteelezaji wa miradi ya inayotekelezwa
na serikali kwa upande mwingine na wananchi, Katika zaiara hiyo Kinana
anaongozana na Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na leo
wanaendelea na ziara hiyo wilaya ya Uyuinyekiti wa CCM wilaya ya Uyui,
Kushoto ni Mussa Ntimizi Mwe. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-UYUI-TABORA)Hizi ndiyo nyumba zenyewe zinavyoonekana
Katib
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa jengo la
Hospitali ya Wilaya ya Uyui lnalojengwa huko Isikizya Uyui mkoani
Tabora, anayefuatana naye ni Stephen Nyanda Mhandizi wa ujenzi wilaya ya
Uyui.Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuhudia mafunzi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa jengo hilo.Ujenzi ukiendeleaKatib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui.Katib
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa
mhandisi wa wilaya Bw. Stephen Nyanda wakati akikagua jengo la Polisi
wilaya ya Uyui.Katib Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua chanzo cha maji Isikizya.Baadhi waandishi wahabari wanaofuatana na Katibu Mkuu Abulrahman Kinana wakihangaika kunasa matukio katika ziara hiyo.Katib
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Meneja wa shirika
la Nyumba mkoani Tabora Bw.Elasto Chilambo wakati alipokagua nyumba za
bei nafuu zinazojengwa na shirika hilo wilayani Uyui mkoani Tabora.Katib
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata taarifa ya ujenzi wa
nyumba hizo kutoka kwa Meneja wa NHC Tabora Bw. Elasto Chilambo.Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi Fatma Mwassa akielezea jambo kwa waandishi wa habari kuhusu miradi hiyo.Katib
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa meneja
wa NHC mkoa wa Tabora Bw. Elasto Chilambo kuhusu mradi huo wa nyumba,
katikati ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi. Fatma Mwassa Mkuu wa Wilaya ya
Uyui Lucy Mayenga na kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.Nape
Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. akimsikiliza Mkuuu wa
wilaya ya Uyui Bi. Lucy Mayenga wakati wa ziara ya katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana wilayani humo.