JIBU LA ZLATAN KUHUSU PSG KUMSAJILI MESSI AU RONALDO HILI HAPA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/jibu-la-zlatan-kuhusu-psg-kumsajili.html
ZLATAN
Ibrahimovic amependekeza kuwa Paris Saint-Germain haina haja ya
kusajili nyota mwingine wakati yeye yupo katika klabu kwasasa.
PSG
wanahusishwa na mpango wa kumsajili nyota wa Barcelona au Cristiano
Ronaldo wa Real Madrid, lakini Msweden huyo alipoulizwa kuhusu hilo
alijibu haraka kwanini klabu isajili nyota mwingine wakati yeye yupo.
“Kwanini Messi au Ronaldo wakati una Zlatan?” alijibu alipoulizwa katika shoo