JAY-Z APIGWA NA SHEMEJI YAKE, LOL!
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/jay-z-apigwa-na-shemeji-yake-lol.html
Solange ambaye ni dada wa Beyonce anayedaiwa kumvamia shemeji yake, Jay-Z.
Beyonce
(shoto) na Jay-Z wakionekana wakishuka kutoka kwenye lift baada ya
kutokea timbwili na shemeji yake, hapa ni dhahiri kabisa Jay Z alikuwa
ame mind kitendo, LoL!