Flatnews

HII NDO NYUMBA YA DAVIDO ILIYO GHARIMU ZAIDI YA BILION MOJA


2Msanii wa Nigeria “Davido” ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha za nyumba yake
ambayoinakadiriwa 
kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music
4
 
Share this article :

Post a Comment

emo-but-icon

item