DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA (HDIF)
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/dkt-bilal-azindua-mfuko-wa-hdif.html
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu,
unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo
ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati
wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo