BONDIA MYWEATHER AMSHINDA KWA POINT MAIDANA ,MATUMLA,CHEKA, KALAMA WAANGALIA LIVE IGO LOUNGE SINZA DAR
Bondia Floyd Myweathe kushoto akipangua ngumi ya Marcos Maidana wakati wa mpambano wao uliochezwa alfajili ya kuamkia leo point...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/bondia-myweather-amshinda-kwa-point.html?m=0
Bondia Floyd Myweathe kushoto akipangua ngumi ya Marcos Maidana wakati wa mpambano wao uliochezwa alfajili ya kuamkia leo point za majaji, Judge Michael Pernick scored it 114-114, a draw. Bert Clements had it 117-111 and Dave Moretti score it 116-112 |
Mabondia wa Tanzania Kalama Nyilawila kushoto,Rashidi Matumla na Fransic Cheka wakifatilia kwa makini mpambano huo uliochezwa alfajili ya leo katika ukumbi wa Igo Lounge sinza mapambano walipokuwa wakionesha live kupitia luninga kubwa kwa mashabiki wa mchezo huo |
Bondia
Floyd Myweather kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Marcos Maidana wakati wa mpambano wao uliochezwa alfajili ya kuamkia leo
point za majaji, Judge Michael Pernick scored it 114-114, a draw. Bert
Clements had it 117-111 and Dave Moretti score it 116-112
TANGAZO LIKIONESSHA KUWEPO KWA NGUMI ZA LIVE KUPITIA LUNINGA
Mabondia
Rashid Matumla kushoto,Fransic Cheka na Kalama Nyilawila wakifatilia
mpambano wa Myweather na Maidana kupitia luninga katika ukumbi wa Igo
lounge sinza mapambano leo
makamu wa
rais Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini (BFT)? Anderson
Lukelo, mabondia Rashid Matumla kushoto,Fransic Cheka na Kalama
Nyilawila wakifatilia mpambano wa Myweather na Maidana kupitia luninga
katika ukumbi wa Igo lounge sinza mapambano leo wakiwa na wadau
mbalimbali wa masumbwi nchini
mashabiki wakifurahia mchezo wa ngumi kupitia luninga
MYWEATHE NA MAIDANA WAKIPAMBANA LIVE KATIKA LUNINGA
Bondia Fransic Cheka akitoa tasmini ya mchezo ulivyokuwa baada ya myweathe kutangazwa mshindi
Bondia Kalama Nyilawila akitoa tasmini ya mchezo ulivyokuwa baada ya myweathe kutangazwa mshindi
wadau mbalimbali wakipiga picha na cheka picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA
mbalimbali alfajili ya kuamkia leo wamejitokeza kuangalia mpambano
uliokuwa ukifanyika Marekani kati ya bondia Floyd Myweather na Marcos
Maidana mpambano uliokuwa unafanyika katika ukumbi mkubwa kabisa wa
ngumi duniani MGM grand ambapo
hapa nchini mabondia Rashidi Matumla, Kalama Nyilawila pamoja na
Fransic Cheka namakamu wa rais Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini
(BFT)? Anderson Lukelo pamoja na kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' walijumuika kwa pamoja kuangalia mpambano huo live katika ukumbi wa Igo lounge uliopo sinza mapambano mpambano
huo ulikuwa mkali ambao dunia nzima ya wapenda mchezo wa ngumi walikuwa
wakisubili kwa hamu kuangalia wakali hawo wa masumbwi wanavyo oneshana
umwamba hata
hivyo mpaka dakika ya mwisho ya mpambano huo ulisha kwa bondia Floyd
Myweather kushinda kwa pointi za majaji wawili na mmoja wa majaji akitoa
droo mpambano huo Michael Pernick scored, 114-114, a draw. Bert
Clements , 117-111 and Dave Moretti , 116-112 wakizungumzia
mpambano huo walio uona live kupitia luninga bondia Rashid Matumla
alisema wenzetu wana uwezo mkubwa sana katika masumbwi ata katika kujaji
maidana alikuwa anacheza fujo tu katika mchezo huu hivyo ndio kitu
kilicho mnyima ushindi nae cheka aliongeza kwa kusema siku zote bingwa analindwa sana hivyo myweather ameweza kutetea taji lake vizuri nae
kalama amesema mambo haya yanatokea kila siku mana nakumbuka zama za
Tyson ndio watu walikuwa wanajazana namna hii kuamka alfajili kuangalia
ngumi sasa myweather anatisha kachukua urithi wa Tyson huyu bondia ni
mzuri kwa jkutembea awapo ulingoni kacheza vizuri nimemfurahia