AUDIO EXCLUSIVE: KOLABO ZINGINE KALI ZA DIAMOND AMBAZO HAZIJATOKA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/audio-exclusive-kolabo-zingine-kali-za.html
kazi za mziki za msanii huyo mkubwa kwa sasa.
Amesema collabo ambazo hazijatoka Diamond amewashirikisha Mafikizolo kutoka Afrika ya Kusini
Pia amefanya na msanii wa kike kutoka Nigeria ambae nae anarekodi kubwa Duniani kwa sasa Tiwa Savage
Pia ameshirikiana na Don Jazzy kutoka Nigeria baada ya collabo kali alilofanya na Davido