ANGALIA BIRTHDAY YA MBUNGE SHYROSE BANJI ILIVYO FANA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/angalia-birthday-ya-mbunge-shyrose_5.html
Mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa
na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya
kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija
hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD
Digital Company +255 755 373999).
Marafiki zake wa karibu ambao
pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya
(kushoto) na Halima Mdee wakimlisha keki kwa pamoja Shy-Rose.
Shy-Rose nae aliwalisha marafiki zake ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee
Shy-Rose pia alilishwa keki na ndugu zake.
Alipokea zawadi kutoka kwa ndugu
Keki ziliendelea
Shy-Rose akila pozi na keki aliyozawadiwa na mmoja wa marafiki zake.
Shy-Rose
Bhanji a.ak.a Mbunge wa Afrika Mashariki akila pozi na marafiki zake
Halima Mdee a.k.a Mbunge wa Mujini na Ester Bulaya a.k.a Mbunge wa
Kijijini .....ndivyo utani wao ulivyokuwa wakitaniana









