Aliye Jidai ni Mganga Wa Diamond Aonekana Tapeli ..Alisema Diamond Hata chukua Tuzo Tena
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/aliye-jidai-ni-mganga-wa-diamond.html
Yule Mganga alioteka vyombo vya habari kwa kusema yeye ndio amempa diamond umaarufu na kwa kuwa diamond amemkana hivyo hatokuja kupata tuzo tena maishani mwake na Ndio mwisho wa Music wake Ameonekana Tapeli wa Kutupwa
Watu wengi walimuamini yule mganga tapeli na wakasema ndio mwisho wa diamond kimuziki.
Diamond amezibitisha utapeli wa huyo mganga kwa kuchukua tuzo Saba katika Tuzo za KTMA zilizofanyika Juzi.