Flatnews

UBALOZI WA TANZANIA UJERUMANI WAITUNUKU DW




Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani umeitunukia Idhaa ya Kiswahili ya DW, tuzo ya kuitangaza vyema lugha ya Kiswahili , kuieneza na kuwaunganisha watumiaji wa lugha hiyo katika maeneo mengi barani Afrika na hasa katika kanda ya maziwa makuu. Tuzo hiyo imetolewa ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya muungano zilizofanyika mjini Berlin. CHANZO JAMII FORUM (J M)

Post a Comment

emo-but-icon

item