Flatnews

BREAKING NEWS: MCHUNGAJI WA UFUFUO NA UZIMA ALISHWA SUMU

Mchungaji Omari katika mojawapo ya mafundisho Ufufuo na Uzima, Kawe jijini Dar es Salaam. Wimbi la mashambulizi kwa viongozi mba...


Mchungaji Omari katika mojawapo ya mafundisho Ufufuo na Uzima, Kawe jijini Dar es Salaam.

Wimbi la mashambulizi kwa viongozi mbalimbali na makanisa nchini yakiendelea kusikika kama ya kawaida masikioni mwa wananchi, taarifa ambazo zimefikia Gospel Kitaa ni kwamba Mchungaji Omary Juma almaarufu kwa jina la Sheikh Omary Juma, amelazwa kwenye hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam baada ya kulishwa sumu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa ufupi kwenye kundi la wanaufufuo na uzima kwenye ukurasa wa kijamii wa facebook, imeelezwa kuwa mchungaji huyo amelishwa yuko hospitalini kwa ajili ya uchunguzi na matibabu zaidi, ambapo pia haijafahamika kwa hivi sasa mchungaji huyo wa kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia hivi karibuni alikuwep kwenye ibada ya ubatizo ya kanisa hio jijini Arusha anaendeleaje.

Related

GOSPEL 1764994656629407176

Post a Comment

emo-but-icon

item