Flatnews

Baada ya MTVMama hii ni Tuzo nyingine aliyoshinda Wizkid

Baada ya kuongoza list ya washindi wa tuzo za  MTVMAMA 2016  zilizotolewa October 22,


Baada ya kuongoza list ya washindi wa tuzo za MTVMAMA 2016 zilizotolewa October 22,
2016 jijini Johanesburg Afrika Kusini, Super Star Wizkid ametangazwa kushinda tuzo nyingine iliyotolewa na MOBO Awards 2016 kwenye kipengele cha ‘Msanii Bora wa Afrika’.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Twitter Account ya watoaji tuzo hizo MOBO Awards, walipost ushindi mwingine wa Star Boy Wizkid.

Related

ENTERTAINMENT 2567341483277572611

Post a Comment

emo-but-icon

item