BREAKING NEWS....MGOMBEA URAIS ASHINDWA TENA KUWAHUTUBIA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUMSIKILIZA, TAZAMA SABABU
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA , Edward Lowassa kwa mara nyingine ameshindwa kuwahutubia wananchi ...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/10/breaking-newsmgombea-urais-ashindwa.html
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA , Edward Lowassa kwa mara nyingine ameshindwa kuwahutubia wananchi wa mji wa Tunduma waliojitokeza kwa ajili ya kumsikiliza baada ya vifaa kuzidiwa nguvu na wananchi.
Wananchi hao waliojitokeza kwa wingi yamejikuta katika wakati mgumu baada ya Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe kuwaeleza wananchi hao kuwa kesho watarudi katika eneo hilo baada ya kupata vyombo vya matangazo vilivyo vizuri.
Hali kama hiyo ilijitokeza mkoani Geita na kumlazimu mgombea huyo kuwahaidi wakazi hao kurejea tena ili kuzungumza na wananchi hao