Flatnews

ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA

OBAMA ANATARAJIWA KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA KIMATAIFA KUHUSU UJASIRIAMALI KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA MJINI NAIROBI. 08....


OBAMA ANATARAJIWA KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA KIMATAIFA KUHUSU UJASIRIAMALI KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA MJINI NAIROBI.


08.30am:Barabara za Jijini Nairobi:
 barabara
Barabara nyingi za mji wa Nairobi zimeonekana kuwa bila watu na magari kufuatia kuwasili kwa rais Obama.Mapema leo maafisa wa polisi walionekana katika barabara zinazoelekea katika eneo la Gigiri ambapo rais Obama atafungua rasmi kaongamano la kibiashara.


08.20am:Obama na familia yake

Mama Sarah Obama [kushoto]Rais Obama na dadaake Daktari Auma Obama wakijumuika katika chakula cha jioni katika hoteli moja jijini Nairobi.

Related

NEWS 2048720044317710414

Post a Comment

emo-but-icon

item