Flatnews

WEMA SEPETU ALA ‘NGUMI’ ZA USO UBUNGE SINGIDA

                               Msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Abraham Sepetu amepigwa chini katika kura za maoni kugombea ubunge...


                              
Msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Abraham Sepetu amepigwa chini katika kura za maoni kugombea ubunge wa viti maalum Singida.
Aysharose Mattembe ndiye ameibuka kidedea akimtupa kwa mbali Madam Wema aliyeshika nafasi ya nne.
11228022_1051907251486527_8461334309566372025_n

Related

NEWS 1558818180199917739

Post a Comment

emo-but-icon

item